Natafuta fundi wa kushona Nguo-Kaunda Suti

Mwenzetu

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2010
Posts
550
Reaction score
195
Wadau habari za leo,

Natafuta fundi wa kunishonea Kaunda suti. Itapendeza zaidi kama atapatikana kwenye mojawapo ya mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma au Morogoro.

Nitashukuru sana kama nitapata mawasiliano yake.

Wasalaam,

Sijui kwanini nimemkumbuka FUNDI MAIKO
 
Wadau habari za leo,

Natafuta fundi wa kunishonea Kaunda suti. Itapendeza zaidi kama atapatikana kwenye mojawapo ya mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma au Morogoro.

Nitashukuru sana kama nitapata mawasiliano yake.

Wasalaam,

Mwenzetu
Ungekuwa Mwanza ningekwambaia kamuone Manju Msita
 
TISS buanaa
Wadau habari za leo,

Natafuta fundi wa kunishonea Kaunda suti. Itapendeza zaidi kama atapatikana kwenye mojawapo ya mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma au Morogoro.

Nitashukuru sana kama nitapata mawasiliano yake.

Wasalaam,

Mwenzetu
 
Kuna fundi yuko vizuri mno maeneo ya Bunju A
Wasiliana na huyu bwana
0753271739
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom