Natafuta fundi wa hometheatre aina ya samsung ht-tx 25

KyelaBoy

JF-Expert Member
Nov 9, 2008
206
22
naomba kama kuna mtu yoyote ambaye ni fundi au anamfahamu fundi wa hometheatre system,hometheatre sytem yangu ni Samsung HT-TX25 tatizo lake ni kwenye mfumo wa speaker,Subwoofer haishiki yaani inashindwa kuwa detected kwenye system,speaker zingine ziko sawa.Nilipeleka Samsung Centre pale JM Mall nikaambiwa niende baada ya siku mbili na nilpoenda nikaambiwa kuna kifaa kimeharibika na kwa sasa spea hakuna kwa hiyo niende baada ya wiki ,nilipoenda tena nikaambiwa HT yako haina tatizo bali ilikuwa ni vumbi nikawaambia ningependa waijaribu kabla ya kuondoka na hiyo HT wakasema hawana subwoofer na kila kitu kiko sawa,lakini nilipofika nyumbani bado Subwoofer haiwi detected .kuna mtu kaniaambiwa itakuwa AC imeungua.tafadhali kama kuna yoyote ambaye anamjua fundi mzuri aniambia simu yangu ni 0786 585 490 au ani PM
 
Tupa tu hiyo nunuwa nyingine, wewe siku hizi hivi vi electronic gadget vyote ni disposable. Unataka mpaka wajukuu waje kuirithi?
 
Tupa tu hiyo nunuwa nyingine, wewe siku hizi hivi vi electronic gadget vyote ni disposable. Unataka mpaka wajukuu waje kuirithi?
Haha mimi bado nina Mac aliyoanzia kutengeneza Steve Jobs,na mke wangu bado ana wax za mwaka 80,watanzanzia hawatupi vitu mpaka vibadilike kuwa sumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom