Jambo la kwanza kabisa ni kuchecki nguvu ya
alternator yako. Kama Alternator ni zima kabisa, basi soma sehemu inayofuata hapa chini.
Check compressor; kama
compressor yako ni nzima, basi kuna kajamaa kanaitwa
expansion valve kanakopunguza pressure ya gesi. Haka kajamaa kakichoka basi gesi inaingia kwenye evaporator na pressure ya juu na hivyo kusababisha compressor ishindwe kuhimili; kanafanana hivi
View attachment 3321134