Hello wadau,
Nahitaji fundi wa mashimo ya choo kwa sehem zenye maji maji sana. Nadhani wanayaita biodegester.
Kama kuna fundi yupo Arusha naomba anipm. Itapendeza akintumia sample picha ya kazi alizowaho fanya (Ikiwa zaidi ya moja itapendeza).
Thanks