Natafuta fundi Ujenzi

Natafuta fundi Ujenzi

Allam

Senior Member
Joined
May 4, 2013
Posts
142
Reaction score
9
kwa mafundi wale walio bombambili majohe,nataka wakunijengea nyumba ndogo ya room 2 na sebule nipe ofa yako ya bei ili tufanye kaz mara baada ya x.mas
 
Mkuu viwanja vipo huko?naweza kupata cha mil.2

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
wewe sema bei then tuongee namba c o tatizo
 
Mimi sio fundi nina sehemu yng kuna fundi ana nijengea ni fundi mzurii na yupo faster.. nataka namba yako nikupigie uje uonee anapo nijengea kama utapenda kazi yake mtaongea. Na pia ukiona kama ni magumashi utapotezea..
 
Back
Top Bottom