Habari wadau nina tv yangu Samsung led mtumba ilizima gafla nimeangaika kwa mafundi nimeshindwa naweza pata fundi mwenye utalaam na hzi tv za mtumba kwa sasa ukiwasha inawaka pia kioo kinaonesha mwanga mweupe msahada tafadhali napatikana kinondon dsm