Habari za Asubuhi Wanajukwaa,
Natafuta fundi simu, ambaye anaweza kunitengenezea simu yangu aina ya Sony Xperia Z3+ . Kuna fundi alinifanyia kituko ndio maana nimelazimika kuingia huku. Kama ww ni fundi tuwasiliane au kama kuna fundi ambaye unamfahamu vizuri kwamba siyo mbabaishaji naomba uniunganishe naye.
Asanteni