Natafuta Fundi saa

Natafuta Fundi saa

Tyetyetye

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
1,180
Reaction score
992
Nilipata kusoma kuwa kuna fundi saa maeneo ya Posta mpya. Huyo fundi anasifika sana kwa uhodari wa kazi yake. Anayejua point alipo naomba anijuze
 
Back
Top Bottom