Natafuta fundi radio

prince mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
2,644
2,000
Nina radio yangu ya Sony nimetoka kuipenda sana, hivyo kuna tatizo limejitokeza sasa nahitaji fundi wa uhakika ambae atanifanikishia jambo langu.

Na kifaa kinachohitajika ni hicho hapo chini sijajua kinaitwaje kitaalam ila mtu akaniela kwamba kinaitwa control.

Natanguliza shukrani.

images%20(3).jpg
20200525_170922.jpg
 

pamjela

JF-Expert Member
Jun 18, 2016
338
1,000
Hicho kifaa kipo wapi mana hapo naona RADIO iliyokuwa imefunguliwa housing yake ambapo hiyo ya picha ya kwanza umedownload picha mtandaoni upande wa sakiti wa ubavuni na tray ya CD tatu na ya pili ya chini ndo umeipiga jioni hii sasa kifaa husika ni kipi
Au njia nafuu sema radio ina tatizo gani inasumbua nini usaidiwe
 

ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,787
2,000
Nina radio yangu ya Sony nimetoka kuipenda sana, hivyo kuna tatizo limejitokeza sasa nahitaji fundi wa uhakika ambae atanifanikishia jambo langu...
Ungesema tatizo la redio kabisa. Unaposema control ni ngumu kuelewa shida maana huwa hizi redio almost control zote zipo surface mounted kwenye Pcb moja na ndio hiyo saketi kubwa hapo ubavuni. Sasa kama kweli inahitaji replacement ya saketi yote hiyo , ni ngumu maana hiyo saketi ni asilimia zaidi ya 60 ya redio nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

prince mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
2,644
2,000
Hicho kifaa kipo wapi mana hapo naona RADIO iliyokuwa imefunguliwa housing yke ambapo hiyo ya picha ya kwanza umedownload picha mtandaoni upande wa sakiti wa ubavuni na tray ya CD tatu na ya pili ya chini ndo umeipiga jioni hii
Sasa kifaa husika ni kipi
Au njia nafuu sema radio ina tatizo gani inasumbua nini usaidiwe
Hii radio shida yake kubwa ni sauti ikiamua inaongea vizuri sna na ikisema leo sitaki kuzungumza basi sauti haitoi kabisa, lakini unaona vitu vyote vina fanya kazi hapo display ila ndio sauti inarudi na kukata.

Kuna jamaa aliefungua na kuiyangalia a kasema kwamba kuna kifaa hicho IC kubwa inayoonekana inapata moto ndio tatizo kwa hiyo inataka ibadirijwe sasa katk kuangalia hicho kidude hakina namba ndio tumekwamia hapo sasa nikesogeza humu ili kupata idea wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

prince mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
2,644
2,000
Ungesema tatizo la redio kabisa. Unaposema control ni ngumu kuelewa shida maana huwa hizi redio almost control zote zipo surface mounted kwenye Pcb moja na ndio hiyo saketi kubwa hapo ubavuni. Sasa kama kweli inahitaji replacement ya saketi yote hiyo , ni ngumu maana hiyo saketi ni asilimia zaidi ya 60 ya redio nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sauti inakuja na kukata, ikifurahi basi na sie tunafurahi ila ikiamka vibay basi halishikiki hata week saut halitoi
20200525_194825.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

dume30

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
394
250
Mimi nina shida kama ya mtoa mada Sony yangu imekufa IC ya sauti, Mwenye kujua pakupata STK 433-100 Sanyo kwa bei chee anisaidie tafadhali
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom