Natafuta Fundi Mzuri wa simu

Natafuta Fundi Mzuri wa simu

Gefu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
6,929
Reaction score
2,567
Wana Jf kwa anayefahamu fundi mzuri wa simu za i phone naomba anijuze. Awe hapa zanzibar au dar es salaam. Its urgent kamtambo kamezimika sipo hewani.


Au kama mtanisaidia kupata uzi mmoja uliwekwa humu wa mtaalam wa simu, nimeutafuta sijaupata sijui umefutwa au vipi..?
 
...watu mme mute ? Mafundi mkowapi,au kama mnawajua nielekezeni niende...
 
Back
Top Bottom