TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,877
- 2,069
Naona unavuka mpaka.
Kama wewe au mama yako alitegemea hiyo kukulea na kukukuza ni wewe.
Nshakujibu umeme napewa na kampuni lakini unachokonoa mpaka mtu akujibu vibaya.
Jiheshimu.
Potezea tu lolest watu wengne washazoea kukashfiwa