Natafuta fundi heater

Natafuta fundi heater

Deleted_account

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,385
Reaction score
3,705
Wadau jug langu la maji ya moto(heater) limeharibika na nilitumia kama mwezi tu nitapata wapi fundi? maeneo ya kariakoo au kigamboni itakuwa vizuri zaidi.
 
sasa mkuu utamlipa sh ngapi fundi wa kutengeneza better ununue jingine, ni aina gani nikusadie pa kuanzia?
 
iTech birika zote ni majanga mie yangu mwezi hikuisha ikazima,my sisy the same my wifi tatizo hilohilo.
Suluhisho ni heater za kuweka kwa jug za plastiki tena tronic zinaizwa 27-30 baasi utasahau kila kitu.
 
Last edited by a moderator:

Thanx sana.
 
Leteni 100,000 niwauzue mabirika saafi toka UK tena ni Brand New
 
Last edited by a moderator:
Sawa kaka,Na umeme je inakula kiasi gani?

umeme.sifatilii na sitofatilia coz Umeme naingiziwa unit 700 kila mwezi
navyonge na wewe hapa nasoma edmi yangu umnit zipo 8500.
 
Sawa dada mtaji wa mwanamke ni ............ yake mwenyeweeeee...

Naona unavuka mpaka.
Kama wewe au mama yako alitegemea hiyo kukulea na kukukuza ni wewe.
Nshakujibu umeme napewa na kampuni lakini unachokonoa mpaka mtu akujibu vibaya.
Jiheshimu.
 
Ww ndie uliyevuka mipaka mpaka kuwaingiza wazazi! Anyway hiyo office aikulipii na internet maana umechukua muda mrefu kujibu bwahahhahaha
 
By the way nimeandika mtaji wa mwanamke ni....... inaweza kuwa akili yake, naona bibi bomba umejishuku, mbona unajishtukia wakati ajui nilikuwa nataka kumalizia nini,nina wonder hata kama kuna kampuni iliyokuajiri....
 
Siyo kwamba kila saa/siku nina mda wa kuingia jf.
Pole sana.
Haya umeniajiri wewe kukufungia mizigo ya mabirika.
We unaona internet deal sana.
Mpuuzi kweli.
We endelea kulangua tu walugaluga.
 
Attachments

  • 1410541636377.jpg
    1410541636377.jpg
    70.9 KB · Views: 78
By the way nimeandika mtaji wa mwanamke ni....... inaweza kuwa akili yake, naona bibi bomba umejishuku, mbona unajishtukia wakati ajui nilikuwa nataka kumalizia nini,nina wonder hata kama kuna kampuni iliyokuajiri....

Kajifunze kuandika kiswahili fasaha na hiyo english uende course.
Pumbavvvvvvv huwezi kuniona hapa mtu hata kuandika hujui.
 
Back
Top Bottom