Natafuta fundi cherehani

bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
1,134
2,010
Kwa wakazi wa dar
Fundi mshonaji nguo.
Natafuta kijana anayejua kushona nguo.
Kama unamfahamu au unajua kushona njoo inbox.
 
Next time kichwa cha habari kiwe
Unamtafuta mshonaji
Ukisema fundi cherehani ni yule anayetengeneza mashine pindi zinapo haribika

Ova
 
Hili tangazo halijatuli
1. Unatafuta fundi mshona nguo akushonee?

2. Unatafuta fundi wa charahani, charahani yako ni mbovu?

3. Unatafuta mshonaji umwajiri kwenye biashara yako?
 
Unaonekana umesoma title tu, ungekuwa umesoma post usingeuliza haya maswali
Hili tangazo halijatuli
1. Unatafuta fundi mshona nguo akushonee?

2. Unatafuta fundi wa charahani, charahani yako ni mbovu?

3. Unatafuta mshonaji umwajiri kwenye biashara yako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom