NATAFUTA FUNDI CCTV Harakaaaaaa…….!

NATAFUTA FUNDI CCTV Harakaaaaaa…….!

mamakibunju

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
1,009
Reaction score
223
Habari za jumamosi wakuu! Natafuta fundi wa CCTV wakufanya configuration au Connection ya CCTV yangu ili iwe connected ktk internet nipate kuona nikiwa nje ya office au nje ya nchi kwa hiyo namtafuta fundi wa CCtv anayejua mambo hayo, Camera na kila kitu zimeshafungwa anayetakiwa ni mtu wa kumaliza kufanya connection tu
Kwa Yeyote Mwenye ujuzi huo Tafadhali naomba ani PM ASAP….
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom