P Political Engineer2 Senior Member Joined Feb 23, 2018 Posts 149 Reaction score 117 Apr 1, 2019 #1 Wakuu hapa mjini mafudi wa Ac za magari ni wababaishaji,ukipeleka hakatai ila anajaza gas basi kesho yake tatizo linajirudia. Naomba kujua nani BINGWA wa AC za magari hapa jijini Dar hata kama being yake iko juu ilimradi anipe Warrant baada ya kuitengeneza. Tafadhali nawakilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu hapa mjini mafudi wa Ac za magari ni wababaishaji,ukipeleka hakatai ila anajaza gas basi kesho yake tatizo linajirudia. Naomba kujua nani BINGWA wa AC za magari hapa jijini Dar hata kama being yake iko juu ilimradi anipe Warrant baada ya kuitengeneza. Tafadhali nawakilisha. Sent using Jamii Forums mobile app