Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,186
- 3,421
Kama wewe ni mkazi wa Mwanza au Geita au Bukoba na una hivyo vifaa.
Naomba unipm namba yako tuwasiliane.
Naomba unipm namba yako tuwasiliane.
Kama ww ni mkazi wa Mwanza au Geita au Bukoba na una hivyo vifaa. Naomba unipm namba yako tuwasiliane.
kwanini umetanguliza kununua used kwanza? Sishauri mtu anunue vitu used especially Refrigerators! kuna friji nzuri za bei poa tu hata TV flat pia zipo. nenda madukani angalia Brand hizi-:
SINGSUNG
BOSS
SANSAN
HOTPOINT
HISENSE