Jilanga
JF-Expert Member
- Feb 13, 2011
- 255
- 40
Nilikua nimejipanga tuanze na agenda ya Kilimo kwanza. Btw uliponijibu my first comment , nimekustukia wewe ni nani.
Inshort through my uzoefu hapa cc haikunipa ugumu kukutambua.
Multiple Id's sijui zitaisha lini hapa.
Nime withdraw my intetion! Endelea kutafuta wengine.
Mkuu J3 ninapaper la Agriculture kama vip tupia 10 pillars za Kilimo Kwanza!