natafuta friends

natafuta friends

natafuta marafiki wa kubadilishana ideas mim ni msichana i prefejinsia zote:bange:

Hebu tueleze una ideas gani kwanza...eleza wasifu wako!!!
Sio tuanze habari za kupiga deki bahari...
 
mimi hapa nimekubali kuwa rafiki yako. mambo vipi baha?. mia
 
Hebu tueleze una ideas gani kwanza...eleza wasifu wako!!!
Sio tuanze habari za kupiga deki bahari...

hvi best mie nliombaga marafiki humu???embu nikumbushe nimesahau.
 
ooh! umenipata, na like nimekukong'olea kwa msisitizo....
 
Back
Top Bottom