Time Traveller
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 314
- 303
Habari wadau. Natafuta fremu ya kupangisha maeneo ya survey, chuo kikuu, au ubungo. Fremu iwe na umeme na iwe karibu na barabara kubwa yeyote. Kwa mwenye nayo tafadhali nitafute kupitia 0788 274330. Ahsanteni.