Natafuta figo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta figo

Discussion in 'JF Doctor' started by O-man, Oct 15, 2012.

 1. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nina mgonjwa ambaye amepata OK ya kwenda India kubadili figo kakini hajampata mtu wa kumsaidia. Damu yake B. Wakuu naomba msaada wenu.
   
 2. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Duh! ningekupa ya kwangu moja lakini kwa jinsi polisi wanavyopiga raia ovyo ovyo siku hizi na sehemu yoyote ya mwili.Wanaweza nishushia kipondo maeneo ya tumboni na hata ile moja ikafeli ikawa noma tena kwangu.
   
 3. H

  Hunter8080 New Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  2eleweshe vizuri ni bei gani unayo?
   
 4. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Nakuombea upate! Naelewa unavyojisikia!
   
 5. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Naamini unataka kutoa msaada, kama ni hivyo naomba ni-PM tulijadili.
   
 6. k

  kisukari JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  hee kumbe mafigo yanauzwa?ki ukweli nilikuwa sijui.mimi nilijua unaweza kumsaidia tu mtu.
   
 7. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  Kwa dunia ya leo hakuna cha bure! Hata jamaa yako atakuzunguka kwa kumtumia mtu wa kati ili nae apate lau kidogo.
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Duh hakuna siku niliyopata kucheka kama siku ya leo ina maana hapo nyumbani Polisi wanawapiga watu kama vile Mtu anavyompiga Punda wake? Na wewe unategemea ipo siku utakula kichapo kwa hao Polisi mkuu Jimjuls
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Bibie upo wapi wewe katika hii dunia?Bibie kisukari Figo imekuwa ni biashara kubwa kwa nchi za

  ulaya mashariki kama Vile Urusi,Uturuki na nchi zingine za Balkan Figo la binadamu linauzwa mpaka Dola Elfu 50

  US $ ingawa Serikali za hizo nchi inapiga sana vita Biashara ya kuuza Figo na baadhi ya Sehemu za mwili wa

  binadamu lakini hiyo kwa watu wa Mafia ndio biashara yao kubwa sana tembea ujionee bibie..................Mfano huu chini hebu soma hapa

  [h=1]EU studies Kosovo 'organ traffic' allegations[/h][​IMG]Eulex works with Kosovo Albanian officials to fight crime and corruption
  Continue reading the main story[h=2]Related Stories[/h]

  The EU mission in Kosovo has begun investigating allegations that Kosovo Liberation Army (KLA) rebels engaged in organ trafficking.
  "Eulex prosecutors have opened a preliminary investigation," the EU rule of law mission (Eulex) said.
  On Tuesday the Council of Europe, a human rights watchdog, approved a report by its investigator, Dick Marty.
  Organs were taken from prisoners killed by the KLA after the 1999 war against Serb forces, Mr Marty alleged.
  He accused a KLA faction led by Kosovo Prime Minister Hashim Thaci of involvement in organised crime, including organ trafficking.
  Mr Thaci strongly denies the allegations.
  Eulex said it took the allegations "very seriously" and was ready to "handle the judicial follow-up".
  "Eulex calls on all relevant organisations and individuals, including Dick Marty, to present what evidence they have...
  [​IMG]Prime Minister Hashim Thaci has strongly denied the allegations
  "We understand concerns about witness protection in the region but we have full confidence in our own witness protection unit," the statement said.
  The Council of Europe's parliamentary assembly called for international and Albanian investigations into crimes committed in the aftermath of the Kosovo conflict, including "numerous indications" that organs were removed from the bodies of prisoners held by the KLA on Albanian territory.
  Swiss senator Dick Marty's report, published last month, claims witnesses were silenced and paid off by members of the Drenica Group, a faction within the KLA, whose members allegedly engaged in organ trafficking, as well as heroin smuggling and assassinations.
  The group's leader is named as Mr Thaci, then the KLA's political chief.
  Mr Marty said he had never claimed Mr Thaci was directly involved in organ-trafficking, but added that "it [was] hard to believe that he never heard anything being said".

  BBC News - EU studies Kosovo 'organ traffic' allegations
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Pole sana kwa matatizo mkuu, ila kwa nini mnasumbuka kupata figo badala ya kusumbuka kupata pesa za matibabu na nauli? nyie mtakuwa ni matajiri ambao hamuishi vizuri na watu kwa kuzani kuwa pesa ndio kila kitu ndio maana hamna ndugu wala rafiki au jirani wa karibu aliyejitokeza kukusaidieni. kumbuka "Watu na utu wao na fedha na fedheha zake".

  Kama ninachokidhani sicho achana na ushauri wangu na kama hivyo ndivyo basi tangu leo anzeni mazoea ya kushirikiana na watu bila kujali kipato wala elimu. Ni mtazamo tu
   
 11. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Wee acha tu siku hizi hawa jamaa wakikuta tu ni kichapo na ukitegemea huwa tunakwenda kwenye mikutano ya CDM huku na kule.
   
 12. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Uhuru wa fikra na mitazamo ni njia nzuri ya kuhabarisha na elimu pia. Nimekusoma mkuu. Mgonjwa wangu amefanyiwa kila jitihada za tiba. Sisi siyo mtajiri bali wengi wetu ni wafanyakazi na jitihada zetu na uwezo wa Mungu, mgonjwa bado tunae. Hivi niandikapo hi thread, sponser ambaye alikuwa tegemeo letu ametangulia mbele ya haki. Mgonjwa wangu ni mtu maarufu katika eneo analoishi. Hiyo dhana kwamba anaishi kwenye kisiwa haipo. Wamejitokeza jamaa kama watatu lakini wote wakawa na individual problems. Lengo la kuja JF ni kupata msaada na kwa kweli wako nimeupokea kwa unyenyekevu. Bado nahitaji msaada wenu na kwa hakika nitajikuna mkono wangu utakapofika.
   
 13. StayReal

  StayReal JF-Expert Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 519
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pole sana bro, i hope utapata mtu..its so sad
   
 14. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Du! pamoja na kwamba niliandika kwa nia njema ya kujenga lakini wewe umenijenga zaidi kwa namna ulivyonijibu. Mpaka nimeona huruma zaidi ya hapo awali. Sikufikiria hadi nyuma ya pazia. Hata hivyo nakuombea upate msaada huo haraka iwezekanavyo. Binafsi sina uwezo huo.

  Jamani wana Jamvi yeyeto mwenye namna ya kusaidia hili tafadhali, tafadhalini msaidieni
   
 15. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Great thinkers wa JF wakitaka kukutosa huwa hawarembi. Nashukuru kwa mara nyingine tena kwa kunielewa. Ubarikiwe.
   
Loading...