Natafuta field!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta field!!!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by new generation, Mar 16, 2012.

 1. new generation

  new generation JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 368
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  mimi ni second year student katika chuo cha IFM [institute of finance management], taking bachelor of banking and finance, natafuta field kwenye benki yeyote iliyo hapa Dar au Mwanza, resuls zangu first year was GPA of 4.0, please people am serious on the issue.
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  kama uko serious si lazima useme uko serious unapojinasibu kuwa upo serious ni ushaidi tosha kwamba haupo serious, field na GPA wapi na wapi?
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Acha ushamba wewe,fild na Gpa wapi na wapi!
   
 4. new generation

  new generation JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 368
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  jamani mpaka kuweka hiyo GPA nikwasababu kuna certain bank ina take into consideration GPA. and that is a reason behind it!!!, I think am well understood.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Acha ujivuni wewe,GPA unaweka hili iweje? Field wanafunzi wote wanapata hata ukipata 2.1 kama ya __________,acha ujivuni huo,hayo mambo yapo CoET.
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  aaaaaah aaaaaah unazungumzia GPA ya ******?
   
 7. new generation

  new generation JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 368
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  huwez amini nina jamaa yangu amepeleka barua ya kuomba field pale CRDB huwezi amini wamemtolea nje, wamedai wana anza kuchukua kuanzia 3.5, kwahiyo usinielewe vibaya jamani!!,lakini pia kama nimewakwaza niweni radhi!!!, ila palipo na uwezekano naomba msaada juu ya ombi langu kwa mtu alie tayari kunisaidia.
   
 8. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,750
  Likes Received: 1,786
  Trophy Points: 280
  hawa crdb wezi wa watupu gpa na field wapi na wapi......ngoja ntakuulizia benki ya nbc.....wana tawi jipya mbezi beach ntakuchekia huwa naendaga sana pale
   
 9. new generation

  new generation JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 368
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  nitakushukuru sana, na namba yangu ya simu kama hautajali ni 0719058458 .
   
 10. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Kuna baadhi ya fani wanaangalia GPA ukiomba field hasa fani za uhasibu. Mkuu hajakosea kuweka GPA hapa

  Lakini mimi siamini sana kwenye GPA za siku hizi,
   
Loading...