Natafuta facebook page inayouzwa

Natafuta facebook page inayouzwa

gc24

New Member
Joined
May 16, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Mambo vp wanajamii! Natafuta page ya facebook inayouzwa. kwa yeyote mwenye mchongo au tetesi za kuuzwa kwa page yenye LIKES 50 elfu na kuendelea tuwasiliane kwa mawasiliano haya.
Simu:0784531312
0682202997
 
Sasa itakuwaje na jina lako,,,,Unajua page ikizidi watu 200 jina halibadiliki
 
Mambo vp wanajamii! Natafuta page ya facebook inayouzwa. kwa yeyote mwenye mchongo au tetesi za kuuzwa kwa page yenye LIKES 50 elfu na kuendelea tuwasiliane kwa mawasiliano haya.
Simu:0784531312
0682202997

0755957515
 
Jaribu kuongea na wema sepetu au jide wale wana like za kutosha
 
Mambo vp wanajamii! Natafuta page ya facebook inayouzwa. kwa yeyote mwenye mchongo au tetesi za kuuzwa kwa page yenye LIKES 50 elfu na kuendelea tuwasiliane kwa mawasiliano haya.
Simu:0784531312
0682202997
Una pesa au uzingua hapa na wewe uonekane una post ? Ipo ya like 389509
 
Back
Top Bottom