Gien Banks
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 336
- 891
- Thread starter
- #41
Najaribu kukuambia kwamba una mawazo chanya sana ambayo yanaweza kukufanya ufanikiwe kifedha kwa muda mfupi sana ikiwa unaweka hiyo biashara kwenye eneo sahihi.
Hivyo maeneo ulotaja mwanzoni (kama unaweza kumudu hiyo rent yake) basi utakuwa umeula.
Ila usisahau maeneo mengine kama niliyokutajia kama Mbweni na Mbezi, kwani ukiweka car wash yako pembezoni mwa hizo barabara ambazo nyingi ni mpya, basi hutakosa cash flow itakayotokana na trafiic unayopita kwenye maeneo hayo.
Nafikiri hapa angalau ntaeleweka kidogo.
![]()
Kweli kabisa Boss. Endelea kutoa madini.


Kuna kitu nimejifunza between the lines of ur post. Nitalifanyia kazi.
