Gien Banks
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 336
- 891
Wasalaam Wakuu,
All is Well.
Husika na kichwa cha habari....kijana mwenzenu nimejichanga vihela kadhaa na kutaka kufungua biashara ya car wash nijikwamue ki uchumi hapa jijini Dar.
Vifaa na Mengine si Tatzo kabisa, nimekamilika.
Shida yangu kubwa ni eneo la kazi husika (car wash) naombeni msaada wenu katika hilo. Maeneo nayopendelea ni
1. Mikocheni
2. Sinza
3. Kinondoni
4. Makumbusho
5. Mwenge
Na mengineyo kama yatafaa sina tatzo. Ushauri wenu katika kazi hii utafaa sana.
Karibuni.