Natafuta Eneo kwa ajili ya Shule

teachers' junction

Senior Member
Dec 5, 2013
122
0
Habari za mwaka mpya wa jf.
Natafuta nyumba au jengo lilokuwa shule kwa ajili ya kuanzia shule ya Awali na Msingi.
iwe jijini Dar.
+255753-810857
 

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,280
2,000
teachers‘ junction;8256447 said:
Habari za mwaka mpya wa jf.
Natafuta nyumba au jengo lilokuwa shule kwa ajili ya kuanzia shule ya Awali na Msingi.
iwe jijini Dar.
+255753-810857

Ainisha eneo tukusaidie mkuu
 

teachers' junction

Senior Member
Dec 5, 2013
122
0
Mwalimu wa English and Kiswah or English and .... or swahil and ...
awe na uzoefu not less than 2yearz teachng experienc.
location.
mbagala.
parkage 700,000/=
nafac 3
mwisho wa order.
08,04,2014.
0753-810857
 

teachers' junction

Senior Member
Dec 5, 2013
122
0
Nyingine.
Mwalimu wa Diploma
Kiswahili na social study
Maeneo.
Mikocheni na Kinyerezi.
salary not less than 500,000/=

Nursery Teachers
Nursery and Lower Primary.
Maeneo ni.
Mikocheni na kimara
Salary not less than 250,000/=

Pia kuna Grdaduate au Diploma
aweze Geograph ama English.
0753-810857
kabla ya jumaapili 27th,04,2014
 

teachers' junction

Senior Member
Dec 5, 2013
122
0
1.Walimu wa Geography.
diploma au Graduate.
Mbagala na mbezi kimara.
salary
600,000/= to 650,000/=
2.English
professional Teacherz and non but with an experience.

for six leaverz with English combination.
Muslims to Tabata
Christian to Mbagala

Before 02nd/05/2014.
At magomeni mapipa Dar es salaam.
Online Registration is applied kwa wamikoani tu.
0753-810857.
Pia unaweza wasiliana na branch yetu ya mbeya kwa namba.
0655-586906
 

teachers' junction

Senior Member
Dec 5, 2013
122
0
Chemistry and Biology.
Biology and Phyisics.

shule ziko kongowe na Tegeta.
salary not less than 600,000/=
kabla ya tarehe 12nd/05/2014.

Grade A teacherz.
shule ziko kimara na mbweni tegeta.
salary 300,000/= to 350,000/=
mwisho 13rd/05/2014.
karibu teacherz junction.
magomeni mapipa kwa usail,interview and re-training.
0753-810857.
pia unaweza usaili na training kwa matawi yetu ya mbeya
0655-586906.
Pia tunatarajia kufungua tawi jipya jijini mwanza.
Teachers junction for Us
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom