Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Wakuu, tangu nije hapa mjini 12 years ago, sijawahi ona duka wanalouza spea za ndg.. Hivi kama Bombadear zetu zikiharibika spea huwa wananunua wapi?
Really? Basi wewe utakuwa mjasiliamali wa kipekee na wa aina yake... Nimefurahi kusikia hili...mimi ninazo dukani kwangu hapa kinondoni. tatizo imekuwa wateja. ila nawauziaga jamaa wa auric na coastal air.
Vipi hujakamata tender ya ATC? Hapo utajiri nje nje ndugu.mimi ninazo dukani kwangu hapa kinondoni. tatizo imekuwa wateja. ila nawauziaga jamaa wa auric na coastal air.
NDEGE ZILE MPYA KABISA HIVYO NI NGUMU SPEA KUUZIKA. ila subiri miaka 15 hivi spea zitaanza kutoka kwa uzuri tu. kwa sasa mashirika madogo madogo ndo yananunua. wengine wanazo home maintanenceVipi hujakamata tender ya ATC? Hapo utajiri nje nje ndugu.
Gerezani na hata SIDO wanaweza tengenezaWakuu, tangu nije hapa mjini 12 years ago, sijawahi ona duka wanalouza spea za ndg.. Hivi kama Bombadear zetu zikiharibika spea huwa wananunua wapi?