Naomba kuliza wadau ni duka gani linalouza sim aina techno manake mjini dar hapa maduka ni mengi na wajanja ni wengi unaweza kubabatizwa sim feki kwa bei ya original. Kuna ndg kajichanga huko mkoa kanitumia laki mbili zake sasa naona kanipa mtihani nimnunulie smart phone