Baba Matatizo
JF-Expert Member
- May 5, 2011
- 334
- 64
Photocopy yangu inasema System ERROR E100.wapi nitapa Drum unit ya Kununua?ni IR 1600
![]()
aina gani ya photocopy machine? Kuna ir 2016/ngp28 wewe ni ipi unataka? Na unataka kwa bei gani
kama upo ok naweza kukuletea made in china
Ni ir 1600 mkuu.nipn bei yake na uniambie new au used.