I InnoDpsJose Member Joined Nov 21, 2014 Posts 7 Reaction score 0 Mar 6, 2015 #1 Habarini wanaJF.Natafuta Display ya laptop Lenovo min(10.1).Nimetafuta kwa mafundi wengi nimekosa so kwa fundi au yeyote anayefahamu zinakopatikana aniPM au anitaarifu hapo chin..Ahsanteni.
Habarini wanaJF.Natafuta Display ya laptop Lenovo min(10.1).Nimetafuta kwa mafundi wengi nimekosa so kwa fundi au yeyote anayefahamu zinakopatikana aniPM au anitaarifu hapo chin..Ahsanteni.
V vunjajungu JF-Expert Member Joined Nov 25, 2011 Posts 576 Reaction score 246 Mar 6, 2015 #2 yangu pia imepasuka,kuna jamaa alidai anazo anapatikana agrey st,sijamuona bado ila nakupa namba zake soon
yangu pia imepasuka,kuna jamaa alidai anazo anapatikana agrey st,sijamuona bado ila nakupa namba zake soon
cleokippo JF-Expert Member Joined Dec 21, 2014 Posts 2,143 Reaction score 1,839 Mar 7, 2015 #3 kuna jamaa yuko moro bila shaka atakuwa nazo, anaitwa doctor briz ngoja mtakuulizie then mta ku PM, kama mtasahau nicheck kwenye no 0715 546818
kuna jamaa yuko moro bila shaka atakuwa nazo, anaitwa doctor briz ngoja mtakuulizie then mta ku PM, kama mtasahau nicheck kwenye no 0715 546818
I InnoDpsJose Member Joined Nov 21, 2014 Posts 7 Reaction score 0 Mar 7, 2015 Thread starter #4 kuna jamaa yuko moro bila shaka atakuwa nazo, anaitwa doctor briz ngoja mtakuulizie then mta ku PM, kama mtasahau nicheck kwenye no 0715 546818 poa mkuu nakuchek
kuna jamaa yuko moro bila shaka atakuwa nazo, anaitwa doctor briz ngoja mtakuulizie then mta ku PM, kama mtasahau nicheck kwenye no 0715 546818 poa mkuu nakuchek