Nadhani una maanisha deep freezer mkuu, si ndio?
freezer bana yakuifadhia fresh meat!
Ushauri wangu: ungeingia kariakoo ukapiga kiatu kwenye used fridges and freezers utapata kwa bei nzuri na watakupa warraty. Hiyo ya kutaka mwenye nayo akupigie nina mashaka utaishia kununua scrap