Natafuta dereva wa Mwanamke au Mzee

Natafuta dereva wa Mwanamke au Mzee

Nsuri

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
1,013
Reaction score
562
Natafuta driver wa gari, Mwanamke au Mzee. Awe anakaa maeneo ya mbezi, Goba, salasala. Atakuwa anaendesha gari ya watoto wadogo. PM please.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Punguza wivu mkuu, hutopata mtu madereva wengi vijana, unaogopa kuibiwa shemeji nini? hahaha ni utani tu.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Punguza wivu mkuu, hutopata mtu madereva wengi vijana, unaogopa kuibiwa shemeji nini? hahaha ni utani tu.

Nongezea bora mwanaume kuliko mwanamke maana kuna kukoboana siku hizi..
Natania tu
 
Nongezea bora mwanaume kuliko mwanamke maana kuna kukoboana siku hizi..
Natania tu

Dah! Utamfanya jamaa aghairi bure, ni kumuomba Mungu tu maana wazee wenyewe wa sasa ni wazee wa mjini.
 
Nipo mi mchungaji wa eagt,,naomba hiyo kazi.
 
Huku Dar hakuna mzee, wazee wanaishia Chalinze huku hawafiki.
 
Gari ni auto au manual?,aina gan?,body type?,ya mwaka gan?,imtka nchi gan?,imetembea km ngp?,imewai kufunguliwa engine?.
 
Driver ni wa kupeleka watoto shule, gari mpya, automatic
 
Natafuta driver wa gari, Mwanamke au Mzee. Awe anakaa maeneo ya mbezi, Goba, salasala. Atakuwa anaendesha gari ya watoto wadogo. PM please.

Kichwa cha habari kigumu nadhani kiswahili kinakupiga chenga
 
watoto wana umri gani?wa kike au kiume?babu seya katoka gerezani unaweza kumuajiri?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom