Mayela chalya's
Member
- Sep 7, 2013
- 29
- 44
nmenunua Bajaji TVS mpyaaaaaa, nataka dereva nimpe mkataba.
if interested check me 0652092243
if interested check me 0652092243
Sasa mbona unaonekana una sura ya upole sana! Utaweza kweli kudai marejesho kwa dereva kichwa maji?nmenunua Bajaji TVS mpyaaaaaa, nataka dereva nimpe mkataba.
if interested check me 0652092243View attachment 1930249
Hiyo million 7 ni bora ungeitupa kwenye kilimonmenunua Bajaji TVS mpyaaaaaa, nataka dereva nimpe mkataba.
if interested check me 0652092243View attachment 1930249
ni kweli, ila nna kazi ina ni keep busy
nlipanga kumpa mdogo wangu, bt amepata kazi nliko mm so ndo iko hivyo!Sema nimeshinda bajajj toka Vodacom.
Mtu hawezi kununua bajaji then aanze kutafuta dereva.
Hiyo business imeshafeli kwa kukosa dira kama kweli umenunua mwenyewe
Kilimo ni kama gambling tu sheikh.
Ok. Nimekusomanlipanga kumpa mdogo wangu, bt amepata kazi nliko mm so ndo iko hivyo!
Aaah yaani ni gambling sawa na Betting au Forex, alisikika Mlevi mmoja.Kilimo ni kama gambling tu sheikh.
Hongera sana! Si uwekezaji mbaya, ila uwe mwangalifu yaani tafuta kijana anayejielewa, usimpe kijana kwa vile labda ni jirani yako au ndugu yako au nini!nmenunua Bajaji TVS mpyaaaaaa, nataka dereva nimpe mkataba.
if interested check me 0652092243
View attachment 1930249
Kaza buti kijana wa kiume. Hakuna kuchagua kazi hapa, chapa kazi ili "mkono uende kinywani" au siyo!? Ila uwe na malengo kama utapata kazi hii au kama hii!Sehem gani mzee graduate nipo hapa
Jobless na mipango haieleweki