mimi kijna mwenye umri 22-25 natafuta mwanamke yoyote yule mwenye sifa zifuatazo Elimu drs la 7 nakuendele mrefu kiasi ,mnene kiasi(asiwe mwembamba) anyejua mapenzi (sio lazma) ,mchesi ,mwenye kujistiri (awe muislam) mvumilivu ,atakayehitaji mwanaumme mwenye sifa kama zangu ambazo ni mrefu,mweusi wa rangi,nimeshiba kidogo yaani kipande cha mtu mashallah najiweza na ni shababi(sijifagilii plz),elimu yangu dplm in cmptr science,nimejaijiri(mjasiriamali) naishi dar na wewe uwe dar.......kwa maelezo zaidi ni pm ..S E R I O U S L Y!!!!!!iiiiiiii