Natafuta Decoder ya DSTV au ya Pay TV mwingine used ya kununua

Natafuta Decoder ya DSTV au ya Pay TV mwingine used ya kununua

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Kama una decoder ya DSTV used ikiwa na Smart card yake naitafuta ya kununua
N:B Uwe umeinunua kabla ya mwaka 2010
Na kama unazo decoder nyingine e.g Ting,Continental,Azam,zuku,startimes ya dish hauitaji tena za PayTV ni PM bei yako
Kipaumbele kipo kwa ile ya DSTV
 
Toa na ofa zako mkuu. No one thought or even think that can sell it (some! Not all) but it gives initiatives kama utatoa ofa!
 
Toa na ofa zako mkuu. No one thought or even think that can sell it (some! Not all) but it gives initiatives kama utatoa ofa!

Hela hiko kaka ni kunipa uhakika kuwa ulinunua kabla ya 2010
Decoder za kabla ya 2010 unaweza kuchukua card yake ukaiweka kwenye kifaa mahaalum ikasoma kwenye decoder ambayo si ya DSTV ndo lengo langu kubwa
 
Mi ninayo we toa ofa yako


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Mimi ninazo decorder mbili za namna hiyo uitakayo moja ni zile ambazo unaweza kutumia kwa tv mbili moja chumbani nyingine sebuleni na zote sizitumii kwa sasa
 
Pia zipo Azam na startimes sizitumii kwasasa natumia qsat kama fta receiver
 
Back
Top Bottom