Npm nikuunganishe kwa tiles zinatengenezwa kibaha ,ziko Kama terazo .utanunua kwa bei nafuuKama unajua mawasiliano yao naomba tafadhali
Weka hapa jukwaani,huko PM ukiambiwa mwizi utakataa?Npm nikuunganishe kwa tiles zinatengenezwa kibaha ,ziko Kama terazo .utanunua kwa bei nafuu
Nenda pale shekilango export zone, watafute wachina wanaitwa 'sunda'Kama unajua mawasiliano yao naomba tafadhali
Siweki ,Kama hutaki Basi.Weka hapa jukwaani,huko PM ukiambiwa mwizi utakataa?
0693139227 wanauuza jumla na reja reja kama hawaeleweki uje na majibu hapa mimi nimejengea za kwaoKama unajua mawasiliano yao naomba tafadhali