Natafuta dawa za kuongeza Uboho

Natafuta dawa za kuongeza Uboho

Kama upo dar au agiza dar ukiwa mikoani nenda madawa ya duka asili waambie mmea mmoja unaitwa mtamba upo kama muhogo unamenya unaweka kwenye chupa ya maji baada ya muda unatoa unato mzito kama gundi unakunywa kama sehemu ya maji ya kunywa ndani ya wiki tu una uboho wa kutosha ilinisaidia sana nilikuwa na shida na maumivu ya viungo
 
Back
Top Bottom