DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 2,308
- 5,025
We una UBOHO MKUBWA nije?Umetaja maeneo ya zamani sana Disuza bombo area ? Kisha ukataja mizizi ya mikk ukanichosha kabisa any way mgosi usikurupuke siku nyingini ni uboho sio ubo0 ambao ni huuView attachment 3399290
Shule za KataMamburula yamejaa kwenye 18 za mleta uzi
BICHWA KOMWEUBOHO au BORO?
Umenisisimuaa sana mpaka chupi imeloa.
Issac vp, na wewe una uboho mkubwa tuyajenge?
😅😅😅😅 amemaanisha uboho na siyo uboo. We nyamwiUmeongea nn sasa. .huyu hajamaanisha mboro la hasha
unataka uboho wangu umix kwa donati?Issac vp, na wewe una uboho mkubwa tuyajenge?
Nautaka sanaaa unimix by yasssunataka uboho wangu umix kwa donati?
Hapana vyakula vipo vingi mkuu.Kuna kipindi niliwahi vunjika mguu(fibura na tibia yote ilivunjika), nilipotoka hospital nikaandikiwa nile vyakula vyenye madini chuma kwa wingi.. Nakumbuka nililetewa kapu la dagaa.. Hivi ni dagaa pekee ndio wana madini chuma?
Unyama 😂
Aisee!!Wakuu kwema? Napata wapi dawa za kuongeza uboho? Asanteni.
Uboho na mashine wapi na wapi. Bone marrow na mashine?Kama uko serious kuna mashine inakuza, check me inbox fasta
alokulaani nayeye alilaaniwa,na alomlaani alikufa kwa kurogwa na laana ya ukooNalea ndoa nazidi kunawiri.
Lamomy una nini? mbona una hasira sana? umekunywa chai?alokulaani nayeye alilaaniwa,na alomlaani alikufa kwa kurogwa na laana ya ukoo
kichaa kishakupanda wewe,,chai saa sitaLamomy una nini? mbona una hasira sana? umekunywa chai?
Kwahiyo hujanywa chai?kichaa kishakupanda wewe,,chai saa sita
tokaKwahiyo hujanywa chai?
Njaa tuuu na wivu.toka