Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 2,882
- 7,916
Wakuu kwema? Napata wapi dawa za kuongeza uboho? Asanteni.
Uboho.Bone marrow au?
AsanteZingatia vyakula vyenye madini chuma
Umetisha mzee nicheki nikuunganishe ni MSUKUMA MMOJA KANDA YA ZIWAWakuu kwema? Napata wapi dawa za kuongeza uboho? Asanteni.
HahahaaWakuu kwema? Napata wapi dawa za kuongeza uboho? Asanteni.
Mazoezi hayaongezi uboho kenge weweKunywa maji mengi na kufanya mazoezi ya kutosha pamoja na kula ndizi mbivu kwa wingi
Mwe!Wakuu kwema? Napata wapi dawa za kuongeza uboho? Asanteni.
Zinaongeza kweli?Umetisha mzee nicheki nikuunganishe ni MSUKUMA MMOJA KANDA YA ZIWA
Inakuza huo urojo wa ndani ya mifupa?Kama uko serious kuna mashine inakuza, check me inbox fasta