Natafuta dawa ya macho yasiyoona mbali

GABLLE

Member
Jan 29, 2011
59
7
WAUNGWANA KWA MOYO MKUNJUFU NAOMBA MNIPE DAWA YA MACHO YANAYOPOTEZA NURU. HAYAONI MBALI HASA WAKATI WA JUA KALI AU MWANGA MKALI. NAJUA NDANI YA JF KUNA WATAALAMU WA FANI ZOTE TENA WALIOBOBEA NAOMBENI MSAADA WENU TAFADHALI!!!:help:
 
Nenda kapime pressure ya macho! Nenda CCBRT au Muhimbili. Pressure ya macho husababisha ugojwa unaitwa glaukoma huu huua macho na unaweza kuwa kupofu kama usipowahi. Mara nyingi wanauitwa silent killer. kwa maana hiyo wahi mapema kama unayo basi uanze kutumia dawa au ufanye upasuaji
 
WAUNGWANA KWA MOYO MKUNJUFU NAOMBA MNIPE DAWA YA MACHO YANAYOPOTEZA NURU. HAYAONI MBALI HASA WAKATI WA JUA KALI AU MWANGA MKALI. NAJUA NDANI YA JF KUNA WATAALAMU WA FANI ZOTE TENA WALIOBOBEA NAOMBENI MSAADA WENU TAFADHALI!!!:help:

Pole ndugu.Nakushauri kwenda MVUMI -DODOMA,CCBRT au MUHIMBILI DAR,hospital hizo zina madaktari bingwa wa macho
 
WAUNGWANA KWA MOYO MKUNJUFU NAOMBA MNIPE DAWA YA MACHO YANAYOPOTEZA NURU. HAYAONI MBALI HASA WAKATI WA JUA KALI AU MWANGA MKALI. NAJUA NDANI YA JF KUNA WATAALAMU WA FANI ZOTE TENA WALIOBOBEA NAOMBENI MSAADA WENU TAFADHALI!!!:help:

Unahitaji kuona daktari wa macho (Opthalmologist) akuexamine ajue tatizo ni nini. Unaweza ukawa uanhitaji miwani tu na sio dawa. In the mean time, tafuta miwani 'photchromatic' ambayo inarekebisha kiwango cha mwanga kuingia kwenye macho. Inaweza ikawa na lensi kama una tatizo la kuona mbali. Muone daktari kwa ushauri bora zaidi.
 
Ninawashukuru sana wote mlionipa mchango wenu wa mawazo ambayo nimeyafanyia kazi haraka iwezekanavyo ambapo tayari daktari wa macho amenipa miwani ambayo kwa hakika niaona mbali sasa. SHUKRANI ZA PEKEE ZIKUENDEE "RIWA".
 
Macho sio kitu cha kuweka weka dawa tu mkuu" ogopa sana. Nakushauri uende hospital kwa wataalam wa macho upimwe utapata tiba
 
Pia pendelea kunywa juisi ya karoti ambayo imechanganywa na nanasi. usiiwekee maji.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom