hahahaha... mimi nilibinafsisha choo cha nyumbani kwa mda usiojulikana!! nilikua mkali sana siku hiyo!! shughuli yake ni nzito Mkuu....Mkuu hiyo kitu usipime nilinunua maduka flani ya kiswahili pale kariakoo shuguli yake niliona sikutoka ndani maana ilikwangua kila kitu nadhani sumu ziliisha