Amba Samedi
Senior Member
- Apr 5, 2024
- 193
- 326
Habari wanaJF,
Salam nyingi kutoka Morogoro Tanzania. Nimemaliza siku salama, na natumaini mambo yenu yanaenda
Nina series of softwares nlizotengeneza kwa ajili ya kurahisisha kazi kwq wateja wangu na wateja wao.
Hizi ni pamoja na
1. Mfumo wa supplies. Kuna jamaa mmoja mwenye butcher aliyeniambia kuwa amechoka na kutumia makaratasi. Hivyo akanipa details zote na sasa tuko kwenye testing phase. Mfumo unaenda vizuri.
2. Mfumo wa Shule. Nilifanya mfumo wa school Fees management. Yaani, mfumo unadaka taarifa za Ada na kuwakumbusha wazazi wanaodaiwa. Malipo yanapofanywa, mzazi hutumiwa SMS receipt kumshukuru kwa kulipa.
3. HasibuHQ Mfumo huu ndo wangu mkuu. Hasa natarget saccos ambao Wana wateja wanaoweka his, kuchukua mikopo na kuwa na deadline za mrejesho. Wahasibu hupata kero kukumbuka kila kitu (kuna mmoja ana wanachama Mia 5, shida kweli!ll). Ina app ambayo mwanachama anaweza kuangalia taarifa zake. Aidha, anakumbushwa deadline za matoleo wiki 2, Wiki 1, siku 3 na siku husika ya mrejesho... anapokea alerts zote za malipo na SMS receipts. Mhasibu pia anapata urahisi wa kuandaa ripoti maana data zote zimo
Nchi hii ni kubwa na natamani kuwafikia watu wengi sana na products hizi. Kuna kijana tunafanya nae yupo maeneo ya kahama. Ila nlitamani kufikia maeneo mengine.
Endapo unamfahamu mtu kama huyo, nishtue.