Natafuta dada wa hiari

Natafuta dada wa hiari

Comi

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
3,328
Reaction score
958
Amani iwe nanyi.

Natafuta mdada wa kuchati naye na kubadilishana mawazo, nimeajiriwa katika sekta binafsi na kwa sasa niko Kanda ya ziwa.
 
Amani iwe nanyi.

Natafuta mdada wa kuchati naye na kubadilishana mawazo kuanzia miaka 26-35, nimeajiriwa katika sekta binafsi na kwa sasa niko Kanda ya ziwa.

Mwenye utayari ani pm.
Hey
 
Sasa kama unataka dada wa kuchati nae kwanini una specify umri,we utakua una yako mengine zaidi ya kuchati.....vijana acheni mambo hayo hayatawasaidia chochote!
 
Back
Top Bottom