NYAMASHEKI
Member
- Nov 17, 2017
- 20
- 11
Mwenye contacts za School of law,naomba anisaidie please,,,Naitaj kusoma course hiyo,,,
I mean just Google itJusw Google it
Mwenye contacts za School of law,naomba anisaidie please,,,Naitaj kusoma course hiyo,,,
Namaanisha Law school of Tanzania, coz a graduate of LLB from Blantyre University of Malawi,,,So kwa hapa Bongo sina exposure sana na Mambo ya wap iliko hiyo Law schoolMkuu, ni School of Law au Law School of Tanzania? School of Law ni vilivyokuwa vitivo vya Sheria vyuoni. Law School ni Taasisi ya mafunzo ya sheria kwa vitendo kwa Wanasheria wanaohitaji kuwa Mawakili. Law School hupokea wanasheria, yaani, ambao wana shahada ya kwanza ya sheria. Unamaanisha nini hapo Mkuu?
Am LLB graduandNamaanisha Law school of Tanzania, coz a graduate of LLB from Blantyre University of Malawi,,,So kwa hapa Bongo sina exposure sana na Mambo ya wap iliko hiyo Law school
Ipo nyuma ya Stendi ya Mabasi ya Mawasiliano pale Sinza. Fika kwenye Taasisi husika ili upate majibu ya maswali yako yote uliyonayo.Namaanisha Law school of Tanzania, coz a graduate of LLB from Blantyre University of Malawi,,,So kwa hapa Bongo sina exposure sana na Mambo ya wap iliko hiyo Law school
Ahsant kwa Maelezo!!Ipo nyuma ya Stendi ya Mabasi ya Mawasiliano pale Sinza. Fika kwenye Taasisi husika ili upate majibu ya maswali yako yote uliyonayo.
Eeeeh, karibu na mahakama ya MAFISADI.Ipo nyuma ya Stendi ya Mabasi ya Mawasiliano pale Sinza. Fika kwenye Taasisi husika ili upate majibu ya maswali yako yote uliyonayo.
Mahakama ya Mafisadi imo humo humo kwenye Viunga vya Law School of TanzaniaEeeeh, karibu na mahakama ya MAFISADI.
Pale hawapokei watu wenye diploma za kutoka chuo cha nyuki Tabora. Pale ili upokelewe ni lazima uwe umehitimu shahada ya sheria kutoka chuo kinachotambuliwa na TCU...Mwenye contacts za School of law,naomba anisaidie please,,,Naitaj kusoma course hiyo,,,
Mkuu kwema !!?hichi chuo cha nyuki kipo srhemu gani hapo tabora !?he wewe ni muhadhiri pale!?Pale hawapokei watu wenye diploma za kutoka chuo cha nyuki Tabora. Pale ili upokelewe ni lazima uwe umehitimu shahada ya sheria kutoka chuo kinachotambuliwa na TCU...
https://www.mabumbe.com/tz/beekeeping-training-institute-tabora/Mkuu kwema !!?hichi chuo cha nyuki kipo srhemu gani hapo tabora !?he wewe ni muhadhiri pale!?
Mkuu, ni School of Law au Law School of Tanzania? School of Law ni vilivyokuwa vitivo vya Sheria vyuoni. Law School ni Taasisi ya mafunzo ya sheria kwa vitendo kwa Wanasheria wanaohitaji kuwa Mawakili. Law School hupokea wanasheria, yaani, ambao wana shahada ya kwanza ya sheria. Unamaanisha nini hapo Mkuu?