Natafuta Compaq Desktop 3 bila screen

Benzoic

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
421
149
:A S 465::A S 465:Wadau wa JF natafuta Compaq desktop 3 bila screen lakini nipewe keyboard na mouse. Nimeattach picha ya aina ninayotaka.
RAM: 512 MB
HD: 40 GB + :A S 465:
compaq.jpg
 
Dah, mkuu mbona unatafuta mashine za kizamani sana? au "fundi" wako amekuambia hzo ndy mashine ya ukweli? piga namba hii 0717293666 ongea na Mchina mmoja anaitwa Jin, kuna kipindi alikuwa nazo nyiiingi mno. Bei yake nadhani itakua km elf70 mpk laki hv! Ukikwama tuwasiliane kwa pm nitakuunganisha na watu wanaofanya hzo bz.
 
Kuna ishu flani tunataka kuifanyia configuration so tunataka sample PC kama tatu za majaribio ....then we will dispose them later kwa sababu baada ya configuration kukamilika tutahamishia kila kitu kwenye mashine zingine tayari kwa kazi officially
 
Nimekuelewa kaka, cku moja na wewe utakuwa babu, lol!
 
Back
Top Bottom