Wakuu nisaidieni ni chuo gani Poland chenye gharama nafuu na cost of living ambazo ni affordable. Najua kuna watu umu wenye practical experience ya nchini Poland au wenye kuifahamu Poland na system yake ya elimu.
Nakaribisha ushauri wenu ili uniwezeshe kiufanyia kazi.
Masomo ni ya social science and humanities. Level ya masters.