Natafuta Chuo kizuri cha kozi ya IT

Natafuta Chuo kizuri cha kozi ya IT

Nataka cha UDSM main Campus
Ujue hesabu tu.
Kama una amini unazijua hiyo uliyopata NECTA ni bahati mbaya basi nenda UDSM CoICT.

Vinginevyo kasome UCC au DIT kuna kozi za IT wanazoendesha kwa kushirikiana na vyuo vya India utafaulu tu.
 
DIT wanataka ufaulu wa somo moja liwe Phyz au Chem au Bioz au Math
Ujue hesabu tu.
Kama una amini unazijua hiyo uliyopata NECTA ni bahati mbaya basi nenda UDSM CoICT.

Vinginevyo kasome UCC au DIT kuna kozi za IT wanazoendesha kwa kushirikiana na vyuo vya India utafaulu tu.
 
UDSM nao wanahitaji sifa hizo hizo.
Nenda UCC kaulizie kozi zao za IT sio zile za computer science wanazofanya kwa niaba ya department of computer science ya UDSM wenyewe.
Vipi hiki chuo cha Kilimanjaro Institute Of Technology Management ni kizuri au
 
Habari za siku nyingi wapendwa wangu wa humu JamiiForums

Rejea na kichwa cha habari hapo juu nikikuwa natafuta chuo kwa ajili ya kusoma kozi ya Information And Technology kwa hapa Dar Es Salaaam ngazi ya Certificate
Matokeo yangu ni kama yafuatavyo
Kisw C
Bios F
Eng D
Math F
Hist B
Geo F
Civ D
Literature In English D


Naishi Temeke
Asanteni
Wewe IT hauiwezi kama hesabu tu hivyo umelamba mswaki.
 
Mimi naulizia
O level nina c ya info tech
Je naweza somea degree ya IT ?
Nimemaliza adv
 
Nenda UCC
UDSM Coict kuna computer science hauqualify kwa kuwa una F ya math
DIT hauqulify kwa kuwa una F ya math
 
Ujue hesabu tu.
Kama una amini unazijua hiyo uliyopata NECTA ni bahati mbaya basi nenda UDSM CoICT.

Vinginevyo kasome UCC au DIT kuna kozi za IT wanazoendesha kwa kushirikiana na vyuo vya India utafaulu tu.
Aiseee
 
Back
Top Bottom