Natafuta Chuo kizuri cha kozi ya IT

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,435
Habari za siku nyingi wapendwa wangu wa humu JamiiForums

Rejea na kichwa cha habari hapo juu nikikuwa natafuta chuo kwa ajili ya kusoma kozi ya Information And Technology kwa hapa Dar Es Salaaam ngazi ya Certificate
Matokeo yangu ni kama yafuatavyo
Kisw C
Bios F
Eng D
Math F
Hist B
Geo F
Civ D
Literature In English D

Naishi Temeke
Asanteni
 
Sasa utaweza ukikutana na programming kama hesabu zero

Vyuo vingi chini ya NACTE wanataka D nne na hawasemi hesabu ni lazima. Hii haimanishi hesabu sio muhimu lakini wana amini utajifunza huko uko kama utakomaa na hiyo taaluma. Check NACTE website kuna guide book yenye vyuo vya ICT nchi nzima na viko wapi-uchague.

Rejea na kichwa cha habari hapo juu nikikuwa natafuta chuo kwa ajili ya kusoma kozi ya Information And Technology kwa hapa Dar Es Salaaam ngazi ya Certificate
 
Vyuo vingi chini ya NACTE wanataka D nne na hawasemi hesabu ni lazima. Hii haimanishi hesabu sio muhimu lakini wana amini utajifunza huko uko kama utakomaa na hiyo taaluma. Check NACTE website kuna guide book yenye vyuo vya ICT nchi nzima na viko wapi-uchague.
Nipo hapa Dar natafuta cha day yaani kwenda na kurudi
 
Ungeanza na hao kama Mkuu SLIM5 alivyo shauri. UCC ukigoogle wana website na inaonyesha vituo vyao viko wapi (UCC Main Campus na Kingine karibu na Posta cheki hapo chini). DIT pagumu wao wanachukua F4 moja kwa moja kwa Diploma lakini wanaweka mkazo wa Hisibati, Physics etc kwani wana orientation ya engineering.
Location Contacts and Address:
NHC - TANCOT HOUSE 5th FLOOR, Pamba Road, (Near Azania Front Church)
Tel : + 255222136561
Fax +255222136560
Mobile: 0783566863/0655049891/0755743448
Email :cbtraining@uccmail.co.tz
Nafikiri wanafundisha kwa shift ingia
UCC - HQ UDSM, UCC ile ya Pale CRDB POSTA wamehamia Jengo la wizara ya Ujenzi
 
Ingia UDSM ndani uliza ilipo idara ya IT kwa certificate. Nenda ukaulize kuhusu kudahiliwa uambatane na result slip au cheti
Huyo hawezi hesabu aende UCC pale akasome IT. Asiende kusoma kozi zilizo idara ya ICT ya UDSM wenyewe atapata taabu sana hesabu za kutosha tu, kama alifeli basic math hatafaulu hiyo kozi labda afanye udaganyifu kwenye mitihani.
 
Ungeanza na hao kama Mkuu SLIM5 alivyo shauri. UCC ukigoogle wana website na inaonyesha vituo vyao viko wapi (UCC Main Campus na Kingine karibu na Posta cheki hapo chini). DIT pagumu wao wanachukua F4 moja kwa moja kwa Diploma lakini wanaweka mkazo wa Hisibati, Physics etc kwani wana orientation ya engineering.
Location Contacts and Address:
NHC - TANCOT HOUSE 5th FLOOR, Pamba Road, (Near Azania Front Church)
Tel : + 255222136561
Fax +255222136560
Mobile: 0783566863/0655049891/0755743448
Email :cbtraining@uccmail.co.tz
Nafikiri wanafundisha kwa shift ingia
Nataka cha UDSM main Campus
 
Back
Top Bottom