NIT hawafundishi dereva from scratch kipengele cha kwanza nit lazima uwe na leseni ya udereva yenye D yaan basic na unatakiwa tayari uwe unajua kuendesha gari pale unaenda kufundishwa sheria tu za barabarani na vitu vingine vingine na sio kufundishwa kushika usukani wala kuingiza Gia