Natafuta chuo cha hair dressing and beauty | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta chuo cha hair dressing and beauty

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by didii, Jun 13, 2012.

 1. didii

  didii Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Habari zenu wana jf.poleni na majukumu .mimi ni mkazi wa dar es salaam natafuta chuo kinachotoa mafunzo ya utengenezaji nyele na urembo kwa ujumla.nimeshaenda veta wameniambia wanachukua intake mwezi wa tisa,mimi ninahitaji kusoma kwa kwa wakati huu.naomba msaada kwa anayefahamu..
   
 2. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,346
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Nenda datastar kariakoo ngoja nikutafutie data za kutosha ili uende kuwaona.
   
 3. didii

  didii Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  thanks billie utakuwa umenisaidia sana
   
Loading...