Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 333
Salamu wana Jamii Forum. Naomba kama kuna mtu anafahamu Chuo Chochote cha AIR HOSTESS hapa nyumbani au Kenya anijulishe. Nahitaji kumpeleka dogo ambaye amemaliza O Level. Nitashukuru kama nitapatiwa taarifa zifuatazo;
Jina la Chuo,na kama wataweza kumpokea mtu aliyemaliza O level Kenya, Karo na mengineyo. Nina imani ombi langu litasikilizwa asaalam na asanteni.
Jina la Chuo,na kama wataweza kumpokea mtu aliyemaliza O level Kenya, Karo na mengineyo. Nina imani ombi langu litasikilizwa asaalam na asanteni.